
Napambana
- filmisongs
- 0
- on Mar 12, 2023
Naamka asubuhi, sina hata buku shi ndala Cha kukila sijui, bora hata pa kulala Chumbani matandabui, mende wamefanya utawala Na mjomba panya haelewi, riziki yake hasara Eh kwachakwacha, nakwenda nakwenda Sijakubali kudoda hii ngoma haisambii Na ndoto za alinacha, sijapenda sijapenda Aliekupa kigoda, mi atanipa kumbi Eh nipate ntoke patupu (kawaida iyo) Siku nzima niambulie […]
Read More